• HABARI MPYA

    Sunday, March 12, 2017

    YANGA NA ZANACO KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Winga wa Yanga, Simon Msuva (kulia) akimtoka beki wa Zanaco ya Zambia katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 
    Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva na Donald Ngoma (kushoto) wakishirikiana kujaribu kuwapita wachezaji wa Zanaco (kulia)
    Winga wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) akipambana na beki waa Zanaco
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kushoto) akimtoka beki wa Zanaco
    Kiungo wa Yanga, Justin Zulu akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Zanaco
    Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka mchezaji wa Zanaco
    Beki wa Zanaco akiondosha mpira kwenye njia ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma
    Kocha wa Yanga, George Lwandamina (kushoto) akisalimiana na kocha wa Zanaco, Mzambia mwenzake, Numba Munamba kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Yanga kilichoanza katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Zanaco kilichoanza katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA ZANACO KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top