• HABARI MPYA

  Friday, March 10, 2017

  SAMATTA ALIVYOWATENDA GENT JANA EUROPA LEAGUE

  Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta akimuacha chini beki wa Gent, Stefan Mitrovic katika ushindi wa 5-2 kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Ghelamco- Arena mjini Gent. Genk ilishinda 5-2 Samatta akifunga mabao mawili 
  Samatta akipiga shuti pembeni ya Rami Gershon wa Gent jana
  Mbwana Samatta akipambana katikati ya wachezaji wa Gent
  Mbwana Samatta jana alikuwa kero kubwa kwa safu ya ulinzi ya Gent
  Mbwana Samatta akinyoosha msuli jana
  Mbwana Samatta wa pili kulia waliosimama katika kikosi cha Genk
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOWATENDA GENT JANA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top