• HABARI MPYA

  Monday, March 13, 2017

  RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA

  Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 ikiilaza 2-1 Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Betis walitangulia kwa bao la Antonio Sanabria dakika ya 24, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Real Madrid dakika ya 41 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top