• HABARI MPYA

  Saturday, March 11, 2017

  PIZARRO AFUNGA BAO LA UKOMBOZI KATIKA MECHI YA 200 WERDER BREMEN

  Mshambuliaji mkongwe, Claudio Pizarro akishangilia baada ya kuifungia Werder Bremen bao la kusawazisha dakika ya 79 katika mechi ya 200 kuchezea timu hiyo ikitoa sare ya 1-1 na Bayer Leverkusen katika mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa BayArena mjini Leverkusen PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PIZARRO AFUNGA BAO LA UKOMBOZI KATIKA MECHI YA 200 WERDER BREMEN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top