• HABARI MPYA

    Friday, March 10, 2017

    MAN UNITED YALAZIMISHA SARE UGENINI EUROPA LEAGUE

    Henrikh Mkhitaryan akiifungia bao la ugenini Manchester United dakika ya 35 baada ya pasi ya Zlatan Ibrahimovic katika sare ya 1-1 na wenyeji, Rostov kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Olimp 2 mjini Rostov. Bao la wenyeji lilifungwa na Aleksandr Bukharov dakika ya 53 na sasa Mashetani Wekundu watahitaji ushindi wa nyumbani kwenda Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YALAZIMISHA SARE UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top