• HABARI MPYA

  Thursday, March 16, 2017

  MAN CITY YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA, MONACO YASONGA MBELE

  Sergio Aguero akipasua katikati ya wachezaji wa Monaco, Fabinho na Djibril Sidibe (kushoto) katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Louis II mjini Monaco. Monaco ilishinda 3-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 6-6 kufuatia kufungwa 5-3 kwenye mchezo wa kwanza Manchester. Mabao ya Monaco jana yalifungwa na Kylian Mbappe Lottin dakika ya nane, Fabinho dakika ya 29 na Tiemoue Bakayoko dakika ya 77, wakati Leroy Sane aliifungia City dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA, MONACO YASONGA MBELE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top