• HABARI MPYA

    Sunday, March 12, 2017

    MAN CITY YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

    Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza David Silva baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya tatu Uwanja wa Riverside usiku wa jana katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Middlesbrough. Man City ilishinda 2-0, bao lingine likifungwa na Sergio Aguero dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top