• HABARI MPYA

    Sunday, March 12, 2017

    LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 2-1 ANFIELD

    Emre Can akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 61 ikiilaza 2-1 Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Burnley walitangulia kwa bao la Ashley Barnes dakika ya saba, kabla ya Georginio Wijnaldum kuisawazishia Liveropool dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 2-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top