• HABARI MPYA

  Saturday, March 11, 2017

  KOCHA WA JKT RUVU 'ALIVYOFAKAMIA' MIHOGO MIBICHI JANA KARUME, UTASEMA...

  Kocha Msaidizi wa JKT Ruvu, Azishi Kondo akinunua mihogo mibichi atafune Uwanja wa Karume, Dar es Salaam wakati wa mechi za mwisho wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
  Kondo alikuwa na rafiki zake mbalimbali akiwemo Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jemadari Said
  Kondo anafahamika kama mpenzi wa mihogo mibichi na karanga mbichi pamoja na nazi
  Hapa Kondo anampa rafiki yake Jemedari muhogo, lakini mchezaji huyo wa zamani wa Kariakoo Lindi alikuwa kama haoni hivi
  Hapa wako pamoja na rafiki zake akiwemo Ally Ruvu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA JKT RUVU 'ALIVYOFAKAMIA' MIHOGO MIBICHI JANA KARUME, UTASEMA... Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top