• HABARI MPYA

  Tuesday, March 14, 2017

  KATIKA USHINDI WA AZAM JUZI KUNA MKONO WA YANGA

  Mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Mwajeck Mtata (kushoto) walikuwepo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili kuisapoti Azam ikishinda 1-0 dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Kombe la Shirikisho Afrika 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KATIKA USHINDI WA AZAM JUZI KUNA MKONO WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top