• HABARI MPYA

  Tuesday, March 14, 2017

  KANTE AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Kiungo Mfaransa, N'Golo Kante (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake Eden Hazard na Cesar Azpilicueta baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England. United ilimaliza pungufu jana baada ya Ander Herrera kutolewa nje kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi za njano mara mbili kwa kumchezea rafu Hazard PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANTE AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top