• HABARI MPYA

    Wednesday, March 15, 2017

    JUVENTUS YATINGA ROBO FAINALI KIBABE LIGI YA MABINGWA

    Leonardo Bonnuci akimpongeza Paulo Dybala (kulia) baada ya mshambuliaji huyo kufunga bao pekee dakika ya 42 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya FC POrto usiku wa jana Uwanja wa Juventus katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya na Juventus sasa inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-0 baada ya awali kushinda 2-0 Ureno PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVENTUS YATINGA ROBO FAINALI KIBABE LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top