• HABARI MPYA

    Wednesday, March 01, 2017

    JUVENTUS YAKARIBIA KUITUPA NJE NAPOLI COPPA ITALIA

    Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia Juventus mabao mawili dakika za 47 na 69 yote kwa penalti katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Napoli usiku wa jana Uwanja wa Juventus mjini Torino katika Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Italia. Bao lingine la Juve lilifungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 64, wakati la Napoli lilifungwa na Jose Callejon dakika ya 36 na sasa Kibibi Kizee cha Turin kinahitaji sare mchezo wa marudiano ili kutinga Nusu Fainali ya Coppa Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVENTUS YAKARIBIA KUITUPA NJE NAPOLI COPPA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top