• HABARI MPYA

    Sunday, March 12, 2017

    GRIEZMANN AING'ARISHA TENA ATLETICO MADRID LA LIGA

    Mshambuliaji anayetakiwa na Manchester United ya England, Antoine Griezmann (kushoto) akishangilia baada ya kufunga bao pekee dakika ya 84 katika ushindi wa 1-0 wa Atletico Madrid dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GRIEZMANN AING'ARISHA TENA ATLETICO MADRID LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top