• HABARI MPYA

    Tuesday, March 07, 2017

    CHIRWA ALIVYOKABIDHIWA MPIRA WAKE BAADA YA 'KUDUNGA' HAT TRICK LEO

    Refa Kheri Sasii (kulia) akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) baada ya kufunga mabao manne katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Kiluvya United ya Pwani jioni ya leo kwenye mchezo waa mwisho wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHIRWA ALIVYOKABIDHIWA MPIRA WAKE BAADA YA 'KUDUNGA' HAT TRICK LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top