• HABARI MPYA

  Tuesday, March 07, 2017

  CHELSEA HAIKAMATIKI ENGLAND, YAIPIGA WEST HAM 2-1

  Mshambuliaji Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 50 Chelsea katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana. Eden Hazard alitangulia kuifungia The Blues dakika ya 25 na Manuel Lanzini akawafungia wenyeji bao la kufutia machozi dakika ya 90 na ushei. Chelsea sasa inaongoza Ligi Kuu kwa pointi 10 zaidi ikiwa na pointi 66 dhidi ya 56 za Tottenham Hotspur katika nafasi ya pili baada ya timu zote kucheza mechi 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA HAIKAMATIKI ENGLAND, YAIPIGA WEST HAM 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top