• HABARI MPYA

  Wednesday, March 08, 2017

  BAYERN MUNICH 'HAWANA UTU HATA KIDOGO', WAWATANDIKA ARSENAL 5-1 NYINGINE EMIRATES

  Kiungo Arturo Vidal akishangilia mbele ya mashabiki wa Bayern Munich usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 85 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern iliyoshinda 5-1 pia kwenye mchezo wa kwanza Munich yalifungwa na Robert Lewandowski dakika ya 55 kwa penalti, Arjen Robben dakika ya 68 na Douglas Costa dakika ya 78, wakati la Arsenal iliyomaliza pungufu baada ya Laurent Koscielny kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 54, lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH 'HAWANA UTU HATA KIDOGO', WAWATANDIKA ARSENAL 5-1 NYINGINE EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top