• HABARI MPYA

  Wednesday, March 15, 2017

  AZAM FC WALIVYOONDOKA LEO KUIFUATA MBABANE SWALLOWS

  Wachezaji wa Azam FC wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kabla ya safari ya kwenda Mbabane, Swaziland kumenyana na wenyeji, Mbabane Swallows Jumapili katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la soka Afrika. Azam inahitaji hata sare baada ya kushinda 1-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani, Dar es Salaam Jumapili iliyopita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOONDOKA LEO KUIFUATA MBABANE SWALLOWS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top