• HABARI MPYA

  Thursday, March 09, 2017

  AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BENFICA 4-0

  Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za nne, 61 na 85 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Benfica kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund, Ujerumani. Bao lingine lilifungwa na Christian Pulisic dakika ya 59 na Dortmund inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-1 baada ya kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BENFICA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top