• HABARI MPYA

  Sunday, March 12, 2017

  ARSENAL NAYO YABAMIZA MTU 5-0 KOMBE LA FA

  Olivier Giroud akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Lincoln City kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Emirates, London usiku wa jana. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 45, Luke Waterfall aliyejifunga dakika ya 58, Alexis Sanchez dakika ya 72 na Aaron Ramsey dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL NAYO YABAMIZA MTU 5-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top