• HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2017

    ZLATAN AGONGA HAT TRICK, MAN UNITED YACHINJA 3-0 ULAYA

    Ander Herrera akimrukia Zlatan Ibrahimovic kumpongeza baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 15, 75 na 88 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya St-Etienne usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZLATAN AGONGA HAT TRICK, MAN UNITED YACHINJA 3-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top