• HABARI MPYA

    Saturday, February 11, 2017

    YANGA KWA RAHA ZAO NDANI YA MORONI

    Wachezaji wa Yanga, kutoka kulia Simon Msuva, Kevin Yondan na Juma Mahadhi baada ya kuwasili mjini Moroni, Comoro asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Ngaya Club kesho
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA KWA RAHA ZAO NDANI YA MORONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top