• HABARI MPYA

    Tuesday, February 07, 2017

    UNAMKUMBUKA MTAALAMU CHEICK TIOTE? NAYE HUYO CHINA!

    Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Cheick Tiote akiwa ameshika jezi ya Shandong Luneng ya Ligi Kuu ya  China baada ya kukamilisha uhamisho wake Newcastle United ya England ambako amemaliza mkataba PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UNAMKUMBUKA MTAALAMU CHEICK TIOTE? NAYE HUYO CHINA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top