• HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2017

    UNADHANI 'AFANDE BONGE' ALIKUWA 'ANAWAKA' NINI HAPA TAIFA JANA?

    Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania akiongea kwa hisia kali jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenye jukwaa ambalo huketi mashabiki wa Simba wakati wa mchezo baina ya timu hiyo na African Lyon hatua ya 16 Bora kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Simba ilishinda 1-0
    'Afande Bonge' alitumia muda mwingi kidogo kuzungumza kwa hisia kali  
    Wengine wanamskiliza, wengine wanaendelea kuangalia mpira
    Kuna wakati Afande Bonge naye alitulia kusikiliza wengine
    Lakini muda mrefu aliongea mwenyewe kwa msistizo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UNADHANI 'AFANDE BONGE' ALIKUWA 'ANAWAKA' NINI HAPA TAIFA JANA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top