Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, February 16, 2017

  ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI!

  Shabiki maarufu wa Simba, Naima Salum 'Nima' (kulia) ambaye ni mchumba wa kipa wa timu hiyo, Peter Manyika akiwa jukwaani kushuhudia mchezo baina ya timu yake hiyo kipenzi dhidi ya African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo   
  Simba SC ilishinda 1-0 mechi hiyo ya hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI! Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top