• HABARI MPYA

  Wednesday, February 08, 2017

  SUAREZ AIPELEKA FAINALI BARCA KOMBE LA MFALME

  Mshambuliaji Luiz Suarez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 43 katika sare ya 1-1 na Atletico Madrid usiku wa jana katika nusu ya pili ya Kombe la Mfalme Uwanja wa Camp Nou. Suarez baadaye alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 90 na kuifanya Barca imalize na wachezaji tisa kufuaia Sergi Roberto naye kutolewa kwa kadi nyekundu pia dakika ya 57, wakati Atletico nao walimpoteza Yannick Carrasco aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 69 huku bao la wageni likifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 83 baada ya awali mchezaji huyo kukosa penalti dakika ya 80. Barca inakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinea 2-1 ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AIPELEKA FAINALI BARCA KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top