• HABARI MPYA

    Tuesday, February 14, 2017

    STERLING AING'ARISHA MAN CITY, YASHINDA 2-0 UGENINI

    Mshambuliaji Raheem Sterling (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Kevin De Bruyne baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 29 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Vitality. Bao la pili lilifungwa na Tyrone Mings aliyejifunga baada ya kazi nzuri ya Sergio Aguero dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STERLING AING'ARISHA MAN CITY, YASHINDA 2-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top