• HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2017

    SIMBA SC NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (kulia) akipambana na beki wa African Lyon, Hamad Waziri katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 1-0 bao pekee ka Mavugo  
    Laudit Mavugo akifunga bao hilo pekee kwa urahisi mbele ya beki Hassan Isihaka wa Lyon  
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimruka kiungo wa Lyon, Peter Mwalyanzi  
    Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Lyon, Miraj Adam 
    Kiungo wa Simba, Said Ndemla akiwadhibti wachezaji wa Lyon kuulinda mpira mbele yake
    Beki wa Simba, Abdi Banda akiambaa na mpira kulia
    Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizo kulia mbele ya beki wa Lyon
    Mabeki Janvier Besala Bokungu wa Simba (kushoto) na Hamad Waziri wa Lyon (kulia) wakipambana
    Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
    Kikosi cha African Lyon jana Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top