• HABARI MPYA

    Sunday, February 12, 2017

    SIMBA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimruka vizuri beki wa Prisons, Salum Kimenya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0
    Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Ibrahim Hajib akiifungia timu yake bao la tatu jana
    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akipasua katikati ya mabeki wa Prisons
    Viungo Mohammed Samatta wa Prisons (kushoto) na Shizza Kichuya wa Simba (kulia) wakiwania mpira jana
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kulia) akimtoka beki wa Prisons, Nurdin Chona jana  
    Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio akimtoka beki wa Prisons, Jumanne Elfadhil
    Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Prisons
    Waachezaji wa Simba na Prisons wakiwania mpira wa kona
    Kikosi cha Simba katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Prisons jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top