• HABARI MPYA

    Saturday, February 11, 2017

    SANCHEZ APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAUA 2-0 ENGLAND

    Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia na wenzake Kieran Gibbs na Hector Bellerin baada ya kuifungia mabao yote mawili The Gunners katika ushindi wa 2-0 jioni ya leo dhidi ya Hull City Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sanchez alifunga bao la kwanza dakika ya 34 na la pili dakika 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAUA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top