• HABARI MPYA

  Tuesday, February 07, 2017

  POGBA ANUNUA JUMBA LA KIFAHARI LA CHICHARITO

  Sehemu ya nyumba aliyonunua kiungo wa Manchester United, Mfaransa Paul Pogba kwa bei ya Pauni Milioni 2.9 mjini Cheshire. Nyumba hiyo kubwa, nzuri yenye vyumba vitano vya kulala, bwawa la ndani la kuogelea, sauna na chumba cha habari, inaaminika ilikuwa ya mchezaji wa zamani wa Man United, mshambuliaji Javier Hernandez 'Chicharito' ambaye kwa sasa anachezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA ANUNUA JUMBA LA KIFAHARI LA CHICHARITO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top