• HABARI MPYA

  Saturday, February 18, 2017

  NEYMAR AMTEMBELEA JESUS KUMFARIJI HOSPITALINI


 • Nyota wa Barcelona, Neymar (kushoto) akiwa amemtembelea Mbrazil mwenzake, Gabriel Jesus wa Manchester City hospitalini baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu ambao utamuweka nje ya Uwanja kwa wiki zisizopungua 12 na tayari kocha wake, Pep Guardiola amesema haamini kama mchezaji huyo atacheza tena msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AMTEMBELEA JESUS KUMFARIJI HOSPITALINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top