• HABARI MPYA

  Tuesday, February 14, 2017

  NDANDA NA MBAO KAZI IPO LIGI KUU KESHO

  LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo miwili tu.
  Michezo ya kesho kwa mujibu wa Ratiba ya VPL ni kati ya Ndanda FC itakayoikaribisha Mbao FC ya Mwanza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara wakati Kagera Sugar ya Kagera itakuwa mgeni wa Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. 
  Mechi nyingine zitachezwa Februari 17, 18 na 19 kwa mujibu wa Ratiba ambayo nimeambatanisha hapo chini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NDANDA NA MBAO KAZI IPO LIGI KUU KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top