• HABARI MPYA

  Friday, February 03, 2017

  MBUYU TWITE, LYANGA WAKINUKISHA LIGI YA MABINGWA UARABUNI

  Kikosi cha Fanja FC  ya Oman kilichofungwa mabao 2-1 na wenyeji, Al Ahed ya Lebanon katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Uarabuni juzi Saida International mjini Saida. Timu hizo zitarudiana Jumatano ya Februari 8, mwaka huu, Uwanja wa Al-Seeb, Muscat, Oman na Fanja watatakiwa kushinda 1-0 nyumbani ili kusonga mbele. Wa kwanza kulia mbele ni kiungo wa zamani wa Yanga, Mbuyu Twite na wa tatu kutoka kushoto nyuma ni mshambuliaji wa zamani wa Simba, Daniel Lyanga  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBUYU TWITE, LYANGA WAKINUKISHA LIGI YA MABINGWA UARABUNI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top