• HABARI MPYA

  Wednesday, February 01, 2017

  MATUMLA AKIJIFUA KWA AJILI YA KUREJEA ULINGONI FEBRUARI 5

  Mabondia Meshack Mwankemwa (kushoto) wa Mbeya na Mbwana Matumla (kulia) wakionyeshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Februari 5, mwaka huu Uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Mwankemwa atapigana na Ramadhani Shauri na Matumla atamkabili na Suleiman Shaaban
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATUMLA AKIJIFUA KWA AJILI YA KUREJEA ULINGONI FEBRUARI 5 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top