• HABARI MPYA

    Saturday, February 11, 2017

    MANCHESTER UNITED NAO WANG'ARA ENGLAND, WAMPA WATFORD 2-0 OLD TRAFFORD

    Kiungo Mspaniola, Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 32 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo. Bao la pili lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANCHESTER UNITED NAO WANG'ARA ENGLAND, WAMPA WATFORD 2-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top