• HABARI MPYA

    Sunday, February 05, 2017

    MAN UNITED YAWAPIGA 3-0 MABINGWA WATETEZI LEICESTER CITY

    Henrikh Mkhitaryan akishangilia na Juan Mata baada ya kuifungia Manchester United bao la kuongoza dakika ya 42 katika ushindi qwa 3-0 dhidi ya wenyeji Leicester City leo Uwanja wa Kings Power. Mabao mengine ta United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 44 na Mata dakika ya 49  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAWAPIGA 3-0 MABINGWA WATETEZI LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top