• HABARI MPYA

  Thursday, February 02, 2017

  MAN CITY YAWAFUMUA WEST HAM 4-0 KWAO LONDON

  Leroy Sane akimrukia mgongoni mkongwe, Yaya Toure kumpongeza baada ya kufunga bao la nne kwa penalti dakika ya 67 Manchester City ikiwachapa 4-0 wenyeji, West Ham United usiku wa jana Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yalifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 17, David Silva dakika ya 21 na Gabriel Jesus dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAWAFUMUA WEST HAM 4-0 KWAO LONDON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top