• HABARI MPYA

    Sunday, February 12, 2017

    ‘MACHEKI BOB’ JULIO, MGUNDA NA AMLIMA KAMBINI TAIFA STARS 1994

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, beki Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ (kushoto) na washambuliaji Juma Mgunda (katikati) na Idelphonce Amlima (kulia) wakiwa kwenye kambi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Jeshi la Wokovu mwaka 1994
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ‘MACHEKI BOB’ JULIO, MGUNDA NA AMLIMA KAMBINI TAIFA STARS 1994 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top