• HABARI MPYA

  Monday, February 13, 2017

  GRIEZMANN 'WA MAN U' AIPA USHINDI ATLETICO MADRID

  Mshambuliaji anayetakiwa na Manchester United, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Fernando Torres dakika ya 11 na Yannick Carrasco dakika ya 86, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Gustavo Cabral dakika ya tano na John Guidetti dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN 'WA MAN U' AIPA USHINDI ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top