• HABARI MPYA

  Friday, February 10, 2017

  DELE ALLI MCHEZAJI BORA, CLEMENT WA SWANSEA KOCHA BORA WA MWEZI ENGLAND

  Kiungo wa Tottenham, Dele Alli akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Januari baada ya kukabidhiwa leo. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa England alifunga mabao matano mwezi uliopita, Spurs ikimaliza bila kupoteza mechi na amemshinda mchezaji mwenzake, Harry Kane, aliyefunga mabao matano pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

  Kocha wa Swansea City, Paul Clement akiwa na tuzo yake ya kocha Bora wa mwezi Januari Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DELE ALLI MCHEZAJI BORA, CLEMENT WA SWANSEA KOCHA BORA WA MWEZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top