• HABARI MPYA

  Thursday, February 02, 2017

  CROUCH AFUNGA BAO LA 100 LIGI KUU ENLAND

  Mkongwe Peter Crouch (kushoto) akimtungua kipa wa Everton, Joel Robles kufungaa bao lake la 100 katika Ligi Kuu ya England timu yake, Stoke City ikitoa sare ya 1-1. Crouch alifunga dakika ya saba, kabla ya Ryan Shawcross kujifunga dakika ya 39 kuipatia Everton bao la kusawazisha PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CROUCH AFUNGA BAO LA 100 LIGI KUU ENLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top