• HABARI MPYA

  Friday, February 10, 2017

  CARROLL AMBWAGA GIROUD TUZO YA BAO BORA LA MWEZI ENGLAND

  Mshambuliaji wa West Ham, Andy Carroll akifurahia na tuzo yake ya Baio Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England, baada ya kumshinda mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud. Carroll ameshinda kwa bao alilofunga kwa tik tak dhidi ya  Crystal Palace, ambalo limeonekana ni zaidi ya bao la 'pigo la mende' alilofunga Giroud PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CARROLL AMBWAGA GIROUD TUZO YA BAO BORA LA MWEZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top