• HABARI MPYA

    Tuesday, February 07, 2017

    CAMEROON WAPATA MAPOKEZI MAZURI NYUMBANI NA MWALI WAO WA AFCON

    Nahodha wa Cameroon, Benjamin Moukandjo akiwa ameshikilia Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Yaounde Nsimalen jana kutoka nchini Gabon, ambako Jumapili waliifunga Misri 2-1 kwenye fainali ya AFCON na kutwaa taji hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CAMEROON WAPATA MAPOKEZI MAZURI NYUMBANI NA MWALI WAO WA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top