• HABARI MPYA

  Friday, February 10, 2017

  BOSSOU ALIVYOANZA KUJIFUA JANA YANGA

  Beki wa Yanga, Vincent Bossou akifanya mazoezi ya peke yake jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kujiunga na wenzake kufuatia kurejea kutoka kwao Togo, baada ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Gabon mwaka huu. Togo ilitolewa mapema tu baada ya hatua ya makundi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOSSOU ALIVYOANZA KUJIFUA JANA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top