• HABARI MPYA

  Sunday, February 05, 2017

  BARCELONA YAISHINDILIA BILBAO 3-0, MESSI APIGA BONGE LA BAO

  Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi akiangalia juu baada ya kufunga kwa mpira wa adhabu dakika ya 40 kuipatia timu yake bao la pili timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcacer dakika ya 18 na Aleix Vidal dakika ya 67 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAISHINDILIA BILBAO 3-0, MESSI APIGA BONGE LA BAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top