• HABARI MPYA

  Saturday, February 11, 2017

  BARCA YAITANDIKA ALAVES 6-0 LA LIGA, MESSI, NEYMAR NA SUAREZ WOTE WAFUNGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (katikati) akipongezwa na wenzake, Luis Suarez (kulia) na Neymar Jr. (kushoto) baada ya Alexis Ruano wa Alaves kujifunga dakika ya 63 kuipatia Barca bao la nne katika ushindi wa 6-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza, Vitoria-Gasteiz leo.  Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Suarez mawili dakika za 37 na 67, Neymar dakika ya 40, Messi dakika ya 59 na Ivan Rakitic dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCA YAITANDIKA ALAVES 6-0 LA LIGA, MESSI, NEYMAR NA SUAREZ WOTE WAFUNGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top