• HABARI MPYA

  Thursday, February 16, 2017

  AZAM NA WAJEDA WA ZAMBIA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Kiungo Frank Domayo wa Azam FC akimtoka mchezaji wa Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0 
  Winga wa Azam, Bruce Kangwa (kulia) akimtoka mchezaji wa Red Arrows jana
  Mshambuliaji wa Azam, Yahya Mohammed akipambana na beki wa Red Arrows 
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akiondoka na mpira mbele ya mchezaji wa Red Arrows
  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi akimtoka mchezaji wa Red Arrows
  Kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi akimtoka mchezaji wa Red Arrows
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA WAJEDA WA ZAMBIA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top