• HABARI MPYA

    Monday, February 06, 2017

    AZAM NA NDANDA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Mohammed akijaribu kuwatoka mabeki wa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0 bao pekee la Yahya Mohammed 
    Samuel Afful (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Ndanda
    Gardiel Michael (kulia)akimtoka mchezaji wa Ndanda
    Shaaban Iddi wa Azam (kulia) akimtoka mchezaji wa Ndanda
    Joseph Mahundi wa Azam akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Ndanda
    Kikosi cha Azam jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA NDANDA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top