• HABARI MPYA

    Tuesday, January 03, 2017

    YANGA NA JAMHURI KATIKA PICHA JANA AMAAN

    Beki wa Yanga, Juma Abdul (kushoto) akimtoka mchezaji wa Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga ilishinda 6-0
    Kiungo wa Yanga, Mzambia Justin Zulu aliumia jana na kushindwa kumalizia mchezo 
    Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka beki wa Jamhuri
    Kiungo wa Yanga, Mnyarwanda Haruna Niyonzima akimtoka mchezaji wa Jamhuri
    Wachezaji wa Yanga, Martin na Niyonzima wakimpongeza mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma baada ya kufunga mabao mawili
    Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA JAMHURI KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top